sw_tn/jer/32/01.md

12 lines
298 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno likaja kwa Yeremia kutoka kwa Yahwe.
"Hiki ndicho alichokisema Yeremia kwa Yahwe."
# Alikuwa amefungwa katika uwanja wa walinzi.
"Walimfunga katika uwanja wa walinzi."
# Katika uwanja wa walinzi katika nyumba ya mfalme wa Yuda.
Hili lilikuwa eneo la wazi liloungana na ikulu ya mfalme.