sw_tn/jer/31/21.md

543 B

Maelezo ya jumla:

Mungu anaendelea kusema tangu mstari wa saba.

Jiwekee alama za bara bara ... Weka matangazo ... Iweke akili yako ... Rudi.

Virai hivi vimeelekezwa kwa "bikra Israeli."

Iweke akili yako juu ya njia sahihi, njia unayopaswa kufuata.

"Jitahidi sana kukumbuka jinsi ulivyokuja kipindi ulipokuwa umechukuliwa mateka."

Rudi, bikra Israeli!

Mungu anamtaja Israeli aliyebadilika.

Utatanga tanga hadi lini, binti usiyemwaminifu?

Mungu anauliza kuwa mpaka lini watu wake watamuasi."Msisite site kuanza kunitii mimi."