sw_tn/jer/31/21.md

20 lines
543 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Mungu anaendelea kusema tangu mstari wa saba.
# Jiwekee alama za bara bara ... Weka matangazo ... Iweke akili yako ... Rudi.
Virai hivi vimeelekezwa kwa "bikra Israeli."
# Iweke akili yako juu ya njia sahihi, njia unayopaswa kufuata.
"Jitahidi sana kukumbuka jinsi ulivyokuja kipindi ulipokuwa umechukuliwa mateka."
# Rudi, bikra Israeli!
Mungu anamtaja Israeli aliyebadilika.
# Utatanga tanga hadi lini, binti usiyemwaminifu?
Mungu anauliza kuwa mpaka lini watu wake watamuasi."Msisite site kuanza kunitii mimi."