sw_tn/jer/31/15.md

314 B

Sauti imesikika katika Rama.

"Nasikia sauti katika Rama."

Ni Raheli akiomboleza kwa ajili ya watoto wake.

Hapa "Raheli" anawakilisha wanawake wa Israeli ambao wanawalilia watoto wao.

Hataki kufarijiwa juu yao, kwa maana hawako hai tena.

"Hatakubali mtu yeyote amfariji, kwa maana watoto wake wamekufa."