# Sauti imesikika katika Rama. "Nasikia sauti katika Rama." # Ni Raheli akiomboleza kwa ajili ya watoto wake. Hapa "Raheli" anawakilisha wanawake wa Israeli ambao wanawalilia watoto wao. # Hataki kufarijiwa juu yao, kwa maana hawako hai tena. "Hatakubali mtu yeyote amfariji, kwa maana watoto wake wamekufa."