sw_tn/jer/31/15.md

12 lines
314 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sauti imesikika katika Rama.
"Nasikia sauti katika Rama."
# Ni Raheli akiomboleza kwa ajili ya watoto wake.
Hapa "Raheli" anawakilisha wanawake wa Israeli ambao wanawalilia watoto wao.
# Hataki kufarijiwa juu yao, kwa maana hawako hai tena.
"Hatakubali mtu yeyote amfariji, kwa maana watoto wake wamekufa."