sw_tn/jer/30/20.md

16 lines
529 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Kusanyiko lao litaanzishwa mbele yangu.
"Nitawaanzisha kama kundi la watu mbele yangu."
# Kiongozi wao atatoka miongoni mwao. Atatokeza kutoka kati yao.
Sentensi hizi mbili zina maana moja. sentensi ya pili inaimarisha au kufafanua wazo lililo katika sentensi ya kwanza; "Kiongozi wao atachaguliwa kutoka kwa watu."
# Ni nani atakayethubutu kunisogelea?
Yahwe anatumia swali kuweka msisitizo kwamba hakuna mtu mwenye ujasiri wa kumkaribia mpaka Yahwe mwenyewwe amruhusu.