sw_tn/jer/30/20.md

529 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kuzungumza.

Kusanyiko lao litaanzishwa mbele yangu.

"Nitawaanzisha kama kundi la watu mbele yangu."

Kiongozi wao atatoka miongoni mwao. Atatokeza kutoka kati yao.

Sentensi hizi mbili zina maana moja. sentensi ya pili inaimarisha au kufafanua wazo lililo katika sentensi ya kwanza; "Kiongozi wao atachaguliwa kutoka kwa watu."

Ni nani atakayethubutu kunisogelea?

Yahwe anatumia swali kuweka msisitizo kwamba hakuna mtu mwenye ujasiri wa kumkaribia mpaka Yahwe mwenyewwe amruhusu.