sw_tn/jer/30/18.md

711 B

Taarifa za jumla:

Yahwe anaendelea kusema na watu wa Israeli.

Ona.

"Sikiliza kwa makini."

Niko karibu kuwarudisha mateka wa Hema za Yakobo na kuwa na huruma juu ya nyumba zake.

"Niko karibu kuwafanya uzao wa Yakobo kufanikiwa na nitakuwa na huruma juu yao."

Kisha mji utajengwa juu ya lundo la magofu.

"Kisha wataujenga Yerusalemu juu ya magofu yake"

Kisha wimbo wa kusifu na sauti ya shangwe itasikika kutoka kwao.

"Kisha wataimba wimbo wa kusifu na furaha."

Kwa maana nitawaongeza na wala sitawapunguza.

Virai hivi vyote vinamaana kwamba Mungu ataisababisha idadi ya watu wa Israeli kuongezeka.

Ili kwamba wasifanywe wanyonge.

"Ili kwamba asiwepo mtu wa asiwepo mtu wa kuwashusha."