sw_tn/jer/30/18.md

28 lines
711 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla:
Yahwe anaendelea kusema na watu wa Israeli.
# Ona.
"Sikiliza kwa makini."
# Niko karibu kuwarudisha mateka wa Hema za Yakobo na kuwa na huruma juu ya nyumba zake.
"Niko karibu kuwafanya uzao wa Yakobo kufanikiwa na nitakuwa na huruma juu yao."
# Kisha mji utajengwa juu ya lundo la magofu.
"Kisha wataujenga Yerusalemu juu ya magofu yake"
# Kisha wimbo wa kusifu na sauti ya shangwe itasikika kutoka kwao.
"Kisha wataimba wimbo wa kusifu na furaha."
# Kwa maana nitawaongeza na wala sitawapunguza.
Virai hivi vyote vinamaana kwamba Mungu ataisababisha idadi ya watu wa Israeli kuongezeka.
# Ili kwamba wasifanywe wanyonge.
"Ili kwamba asiwepo mtu wa asiwepo mtu wa kuwashusha."