sw_tn/jer/30/10.md

743 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema kwa watu wa Israeli.

Mtumishi wangu Yakobo, usiogope ... na usikate tamaa, Israeli.

Virai vyote vina maana moja. Cha pili kinakipa nguvu cha kwanza.

Maana ona.

"Sikilizeni kwa makini."

Na usikate tamaa.

"Na usihuzunike."

Niko karibu kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya utumwa.

Virai hivi via maana moja; cha pili kinakipa nguvu cha kwanza.

Kutoka nchi ya utumwa.

"Kutoka sehemu ambako mlikuwa mateka."

Yakobo atarudi.

"Watu watarudi kwenye nchi yao."

Ataokolewa.

"Watu watakuwa salama."

Ambako nimewatawanya.

"Niliko watuma."

lakini hakika sitakuacha.

"Lakini sitakuharibu kabisa kabisa."

Sitakuacha bila kukuadhibu.

"hakika nitakuadhibu."