sw_tn/jer/30/10.md

44 lines
743 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema kwa watu wa Israeli.
# Mtumishi wangu Yakobo, usiogope ... na usikate tamaa, Israeli.
Virai vyote vina maana moja. Cha pili kinakipa nguvu cha kwanza.
# Maana ona.
"Sikilizeni kwa makini."
# Na usikate tamaa.
"Na usihuzunike."
# Niko karibu kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya utumwa.
Virai hivi via maana moja; cha pili kinakipa nguvu cha kwanza.
# Kutoka nchi ya utumwa.
"Kutoka sehemu ambako mlikuwa mateka."
# Yakobo atarudi.
"Watu watarudi kwenye nchi yao."
# Ataokolewa.
"Watu watakuwa salama."
# Ambako nimewatawanya.
"Niliko watuma."
# lakini hakika sitakuacha.
"Lakini sitakuharibu kabisa kabisa."
# Sitakuacha bila kukuadhibu.
"hakika nitakuadhibu."