sw_tn/jer/30/08.md

16 lines
363 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema kwa Waisraeli.
# Nitaivunja nira ya shingo zenu, na Nitaisambaza minyororo yenu.
Maneno haya yote yanaonesha kwamba Yahwe atawaweka huru watu wake wa Israeli dhidi ya utumwa.
# Watamwabudu Yahwe.
Neno "wata" linataja watu wa uzao wa Yakobo.
# kumtumikia Daudi mfalme wao.
Hapa anatajwa mmoja wa wazawa wa Daudi.