sw_tn/jer/30/08.md

363 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema kwa Waisraeli.

Nitaivunja nira ya shingo zenu, na Nitaisambaza minyororo yenu.

Maneno haya yote yanaonesha kwamba Yahwe atawaweka huru watu wake wa Israeli dhidi ya utumwa.

Watamwabudu Yahwe.

Neno "wata" linataja watu wa uzao wa Yakobo.

kumtumikia Daudi mfalme wao.

Hapa anatajwa mmoja wa wazawa wa Daudi.