sw_tn/jer/30/01.md

16 lines
396 B
Markdown

# jiandikie mwenyewe katika barua maneno yote niliyotangaza kwako.
"Uandike katika barua ujumbe niliousema kwako."
# Maana ona.
"Tazama sikiliza kwa amakini." Hiki ni kiria kinachodai usikivu kwa kile ambacho Yahwe anaenda kukifanya.
# Hili ni tangazo la Yahwe.
Angalia ufafanuzi katika sura ya 1:7.
# Nitakapowarudisha mateka wa watu wangu.
"Nitafanya mambo yaende vyema kwa watu wangu."