sw_tn/jer/30/01.md

396 B

jiandikie mwenyewe katika barua maneno yote niliyotangaza kwako.

"Uandike katika barua ujumbe niliousema kwako."

Maana ona.

"Tazama sikiliza kwa amakini." Hiki ni kiria kinachodai usikivu kwa kile ambacho Yahwe anaenda kukifanya.

Hili ni tangazo la Yahwe.

Angalia ufafanuzi katika sura ya 1:7.

Nitakapowarudisha mateka wa watu wangu.

"Nitafanya mambo yaende vyema kwa watu wangu."