# jiandikie mwenyewe katika barua maneno yote niliyotangaza kwako. "Uandike katika barua ujumbe niliousema kwako." # Maana ona. "Tazama sikiliza kwa amakini." Hiki ni kiria kinachodai usikivu kwa kile ambacho Yahwe anaenda kukifanya. # Hili ni tangazo la Yahwe. Angalia ufafanuzi katika sura ya 1:7. # Nitakapowarudisha mateka wa watu wangu. "Nitafanya mambo yaende vyema kwa watu wangu."