sw_tn/jer/29/27.md

12 lines
425 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Hii inamaliza waraka wa Shemaiya ambao aliwatumia watu wa Yerusalemu.
# Kwa nini hamkumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii nabii juu yenu?
"Mlipaswa kumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii huku akisema maneno yalikinyume nanyi."
# PJengeni nyummba na musdhinndani yake, na pandeni busitani na kuleni matunda yake.
Angalia ufafanuzi katika sura ya 29:4.