# Maelezo ya jumla: Hii inamaliza waraka wa Shemaiya ambao aliwatumia watu wa Yerusalemu. # Kwa nini hamkumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii nabii juu yenu? "Mlipaswa kumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii huku akisema maneno yalikinyume nanyi." # PJengeni nyummba na musdhinndani yake, na pandeni busitani na kuleni matunda yake. Angalia ufafanuzi katika sura ya 29:4.