sw_tn/jer/29/27.md

425 B

Maelezo ya jumla:

Hii inamaliza waraka wa Shemaiya ambao aliwatumia watu wa Yerusalemu.

Kwa nini hamkumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii nabii juu yenu?

"Mlipaswa kumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii huku akisema maneno yalikinyume nanyi."

PJengeni nyummba na musdhinndani yake, na pandeni busitani na kuleni matunda yake.

Angalia ufafanuzi katika sura ya 29:4.