sw_tn/jer/29/24.md

16 lines
328 B
Markdown

# Shemaya ... Maaseya ... Yehoyada.
Haya ni majina ya kiume.
# Mnehelami.
Hili ni jina la kabila la watu.
# Kwa jina lako.
"Jina" linamaana ya mamlaka ya mtu na ushuhuda wake. Kwa kuzingatia mamlaka na ushuhuda wako."
# Mkatale
Huu ni ubao uliochongwa kwa ajili ya kumuadhibia mtu kwa kushikilia miguu, mikono au kichwa.