# Shemaya ... Maaseya ... Yehoyada. Haya ni majina ya kiume. # Mnehelami. Hili ni jina la kabila la watu. # Kwa jina lako. "Jina" linamaana ya mamlaka ya mtu na ushuhuda wake. Kwa kuzingatia mamlaka na ushuhuda wako." # Mkatale Huu ni ubao uliochongwa kwa ajili ya kumuadhibia mtu kwa kushikilia miguu, mikono au kichwa.