sw_tn/jer/29/15.md

20 lines
475 B
Markdown

# Melezo ya jumla:
Yeremia anazungumza na Waisraeli mateka.
# Aliyeketi katika kiti cha enzi cha Daudi.
Hapa anatajwa mfalme wa Yuda, ambaye pia ni mmoja wa wazawa wa Daudi.
# Ona.
"Angalia" auaa sikiliza" au zingatia."
# Niko karibu kutuma upanga, njaa, na ugonjwa juu yao.
"Upanga" unawakilisha vita. "Ninakwenda kuwaadhibu."
# Kwa maana nitawafanya kuwa kama tini mbovu ambazo ni mbaya sana hazifai kuliwa.
"Nitawaadhibu kwa ukatili" au nitayaharibu maisha yao."