sw_tn/jer/29/15.md

475 B

Melezo ya jumla:

Yeremia anazungumza na Waisraeli mateka.

Aliyeketi katika kiti cha enzi cha Daudi.

Hapa anatajwa mfalme wa Yuda, ambaye pia ni mmoja wa wazawa wa Daudi.

Ona.

"Angalia" auaa sikiliza" au zingatia."

Niko karibu kutuma upanga, njaa, na ugonjwa juu yao.

"Upanga" unawakilisha vita. "Ninakwenda kuwaadhibu."

Kwa maana nitawafanya kuwa kama tini mbovu ambazo ni mbaya sana hazifai kuliwa.

"Nitawaadhibu kwa ukatili" au nitayaharibu maisha yao."