sw_tn/jer/29/12.md

16 lines
367 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema kitakachowapa waisraeli ambao ni mateka huko Babeli.
# Mtaniita ... kunioma.
Maneno haya mawili yana maana moja na yanatoa msisitizo kwamba Yahwe atawajibu maombi yao.
# Nitawasikiliza.
Hii ina maana kwamba Yahwe atawapa wanachokihitaji.
# Nitwarudisha watu wenu waliofungwa.
"Nitayafanya mambo yenu yaende vizuri."