# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kusema kitakachowapa waisraeli ambao ni mateka huko Babeli. # Mtaniita ... kunioma. Maneno haya mawili yana maana moja na yanatoa msisitizo kwamba Yahwe atawajibu maombi yao. # Nitawasikiliza. Hii ina maana kwamba Yahwe atawapa wanachokihitaji. # Nitwarudisha watu wenu waliofungwa. "Nitayafanya mambo yenu yaende vizuri."