sw_tn/jer/29/12.md

367 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema kitakachowapa waisraeli ambao ni mateka huko Babeli.

Mtaniita ... kunioma.

Maneno haya mawili yana maana moja na yanatoa msisitizo kwamba Yahwe atawajibu maombi yao.

Nitawasikiliza.

Hii ina maana kwamba Yahwe atawapa wanachokihitaji.

Nitwarudisha watu wenu waliofungwa.

"Nitayafanya mambo yenu yaende vizuri."