sw_tn/jer/29/06.md

312 B

Chukueni wake ajili ya wanawenu.

"Waozeni wana wene."

Wapatieni waume binti zenu.

"Waruhusuni binti zenu kuolewa."

Kama mji uko katika amani.

Huu unatajwa mji wa Babeli.

Itafuteni amani ya mji.

Tafuteni kuishi kwa amani na watu wote. Inamaana kwamba wasisababishe shida na kuasi dhidi ya mamlaka.