# Chukueni wake ajili ya wanawenu. "Waozeni wana wene." # Wapatieni waume binti zenu. "Waruhusuni binti zenu kuolewa." # Kama mji uko katika amani. Huu unatajwa mji wa Babeli. # Itafuteni amani ya mji. Tafuteni kuishi kwa amani na watu wote. Inamaana kwamba wasisababishe shida na kuasi dhidi ya mamlaka.