sw_tn/jer/29/06.md

16 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Chukueni wake ajili ya wanawenu.
"Waozeni wana wene."
# Wapatieni waume binti zenu.
"Waruhusuni binti zenu kuolewa."
# Kama mji uko katika amani.
Huu unatajwa mji wa Babeli.
# Itafuteni amani ya mji.
Tafuteni kuishi kwa amani na watu wote. Inamaana kwamba wasisababishe shida na kuasi dhidi ya mamlaka.