sw_tn/jer/29/04.md

8 lines
255 B
Markdown

# Ambao niliwasababisha.
"Ambaye aliwasababisha" au "ambao Yahwe aliwasababisha."
# Jengeni nyumba na musishi ndani yake, pandeni busitani na mle mataunda yake.
Yahwe anawaambia au kuwahakikishia kwamba watakuwemo humo au wataishi humo kwa muda mrefu.