# Ambao niliwasababisha. "Ambaye aliwasababisha" au "ambao Yahwe aliwasababisha." # Jengeni nyumba na musishi ndani yake, pandeni busitani na mle mataunda yake. Yahwe anawaambia au kuwahakikishia kwamba watakuwemo humo au wataishi humo kwa muda mrefu.