sw_tn/jer/29/04.md

255 B

Ambao niliwasababisha.

"Ambaye aliwasababisha" au "ambao Yahwe aliwasababisha."

Jengeni nyumba na musishi ndani yake, pandeni busitani na mle mataunda yake.

Yahwe anawaambia au kuwahakikishia kwamba watakuwemo humo au wataishi humo kwa muda mrefu.