sw_tn/jer/27/16.md

470 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia anaendela kusema neno la Yahwe.

Vyombo vya nyumba ya Yahwe vinarudishwa kutoka Babeli sasa!

Watu kutoka Babeli wanavirudisha vyombo vyote vya dhahabu ambavyo waalivichukua kutoka kwenye hekalu la Yahwe.

Kwa nini mji huu uangamizwe?

"Mji wote utaangamizwa."

Kama ni manabii.

Kama kweli wanachosema ni kweli, basi wangekuwa wanaomba kwamba maneno yangu yasitimie na kwamba vyombo vya hekalu na viongozi wanabaki katika Yerusalemu.