# Maelezo ya jumla: Yeremia anaendela kusema neno la Yahwe. # Vyombo vya nyumba ya Yahwe vinarudishwa kutoka Babeli sasa! Watu kutoka Babeli wanavirudisha vyombo vyote vya dhahabu ambavyo waalivichukua kutoka kwenye hekalu la Yahwe. # Kwa nini mji huu uangamizwe? "Mji wote utaangamizwa." # Kama ni manabii. Kama kweli wanachosema ni kweli, basi wangekuwa wanaomba kwamba maneno yangu yasitimie na kwamba vyombo vya hekalu na viongozi wanabaki katika Yerusalemu.