sw_tn/jer/27/16.md

16 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yeremia anaendela kusema neno la Yahwe.
# Vyombo vya nyumba ya Yahwe vinarudishwa kutoka Babeli sasa!
Watu kutoka Babeli wanavirudisha vyombo vyote vya dhahabu ambavyo waalivichukua kutoka kwenye hekalu la Yahwe.
# Kwa nini mji huu uangamizwe?
"Mji wote utaangamizwa."
# Kama ni manabii.
Kama kweli wanachosema ni kweli, basi wangekuwa wanaomba kwamba maneno yangu yasitimie na kwamba vyombo vya hekalu na viongozi wanabaki katika Yerusalemu.