sw_tn/jer/27/14.md

438 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia.

Msisikilize maneno.

Yahwe anawaonya watu dhidi ya manabii wa uongo ambao wanawadanganya wakati yeye hata hajawatuma kwao.

Kwa maana mimi sikuwatuma.

"Kwa maanaa mimi sikuwatuma."

Kwa jina langu.

Kirai hiki kina maana ya kuzungumza kwa nguvu za Yahwe na mamlaka au kuzungumza kama mwakilishi wa Yahwe.

Niwafukuze.

"Nowapeleke nje na nchi yenu."