# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia. # Msisikilize maneno. Yahwe anawaonya watu dhidi ya manabii wa uongo ambao wanawadanganya wakati yeye hata hajawatuma kwao. # Kwa maana mimi sikuwatuma. "Kwa maanaa mimi sikuwatuma." # Kwa jina langu. Kirai hiki kina maana ya kuzungumza kwa nguvu za Yahwe na mamlaka au kuzungumza kama mwakilishi wa Yahwe. # Niwafukuze. "Nowapeleke nje na nchi yenu."