sw_tn/jer/27/14.md

20 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia.
# Msisikilize maneno.
Yahwe anawaonya watu dhidi ya manabii wa uongo ambao wanawadanganya wakati yeye hata hajawatuma kwao.
# Kwa maana mimi sikuwatuma.
"Kwa maanaa mimi sikuwatuma."
# Kwa jina langu.
Kirai hiki kina maana ya kuzungumza kwa nguvu za Yahwe na mamlaka au kuzungumza kama mwakilishi wa Yahwe.
# Niwafukuze.
"Nowapeleke nje na nchi yenu."