sw_tn/jer/27/09.md

24 lines
468 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia.
# Watambuzi.
Mtambuzi ni mtu anayefanya utabiri kuhusu mambo yajayo.
# Lakini taifa ambalo wataweka shingo zao chini ya nira ya mfalme.
"Lakini taifa watakalomtumikia mfalme."
# Hili ni tangazo la Yahwe.
Angalia sura ya 1:7
# Watailima.
Hii ina maana ya kuandaa na kutumia ardhi kwa ajili ya kupanda mazao ya chakula.
# Kufanya nyumba zao humo.
"Kuifanya Babeli kuwa nyumba yao."