sw_tn/jer/27/09.md

468 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia.

Watambuzi.

Mtambuzi ni mtu anayefanya utabiri kuhusu mambo yajayo.

Lakini taifa ambalo wataweka shingo zao chini ya nira ya mfalme.

"Lakini taifa watakalomtumikia mfalme."

Hili ni tangazo la Yahwe.

Angalia sura ya 1:7

Watailima.

Hii ina maana ya kuandaa na kutumia ardhi kwa ajili ya kupanda mazao ya chakula.

Kufanya nyumba zao humo.

"Kuifanya Babeli kuwa nyumba yao."