# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kusema na watu wa Yuda kupitia Yeremia. # Watambuzi. Mtambuzi ni mtu anayefanya utabiri kuhusu mambo yajayo. # Lakini taifa ambalo wataweka shingo zao chini ya nira ya mfalme. "Lakini taifa watakalomtumikia mfalme." # Hili ni tangazo la Yahwe. Angalia sura ya 1:7 # Watailima. Hii ina maana ya kuandaa na kutumia ardhi kwa ajili ya kupanda mazao ya chakula. # Kufanya nyumba zao humo. "Kuifanya Babeli kuwa nyumba yao."