sw_tn/jer/27/08.md

12 lines
280 B
Markdown

# Ule usioweka shingo yake chini ya nira ya mfalme.
Wale wasio apa kwa uaminifu kwa mfalme Nebukadreza na kulipa kodi kwa mfalme.
# Kwa mkono wake.
Kirai hiki kinamtataja Nebukadreza na majeshi yake.
# Hili ni tangazo la Yahwe.
"Hiki ndicho anachosema Yahwe kuwa kitatokea."