# Ule usioweka shingo yake chini ya nira ya mfalme. Wale wasio apa kwa uaminifu kwa mfalme Nebukadreza na kulipa kodi kwa mfalme. # Kwa mkono wake. Kirai hiki kinamtataja Nebukadreza na majeshi yake. # Hili ni tangazo la Yahwe. "Hiki ndicho anachosema Yahwe kuwa kitatokea."