sw_tn/jer/27/08.md

280 B

Ule usioweka shingo yake chini ya nira ya mfalme.

Wale wasio apa kwa uaminifu kwa mfalme Nebukadreza na kulipa kodi kwa mfalme.

Kwa mkono wake.

Kirai hiki kinamtataja Nebukadreza na majeshi yake.

Hili ni tangazo la Yahwe.

"Hiki ndicho anachosema Yahwe kuwa kitatokea."