sw_tn/jer/27/05.md

304 B

Kwa nguvu zangu kuu na mkono wangu ulioinuka.

Kirai "mkono ulionuka" una maana ya nguvu kuu na kina afafanua kiri cha kwanza; "kwa nguvu zangu kuu sana."

Nikawatoa kwa yeyote aliyesahihi katika macho yangu.

"Nampa yeyote ninayetaka kumpa."

Watamtiisha.

Tutakuwa na nguvu na kuwashinda Babeli.