sw_tn/jer/27/05.md

12 lines
304 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nguvu zangu kuu na mkono wangu ulioinuka.
Kirai "mkono ulionuka" una maana ya nguvu kuu na kina afafanua kiri cha kwanza; "kwa nguvu zangu kuu sana."
# Nikawatoa kwa yeyote aliyesahihi katika macho yangu.
"Nampa yeyote ninayetaka kumpa."
# Watamtiisha.
Tutakuwa na nguvu na kuwashinda Babeli.