# Kwa nguvu zangu kuu na mkono wangu ulioinuka. Kirai "mkono ulionuka" una maana ya nguvu kuu na kina afafanua kiri cha kwanza; "kwa nguvu zangu kuu sana." # Nikawatoa kwa yeyote aliyesahihi katika macho yangu. "Nampa yeyote ninayetaka kumpa." # Watamtiisha. Tutakuwa na nguvu na kuwashinda Babeli.