sw_tn/jer/26/13.md

396 B

Kwa hiyo, sasa imarisheni njia zenu na matendo yenu.

Watu walikuwa walikuwa wamejito kumtolea Yahwe sadaka ili kumpendeza. Lakini hawakuwa wanapenda kuifuata sheri ya Yahwe wala kumjua Yeye.

Sikilizenu sauti ya Yahwe.

"Mtiini Yahwe."

Nitendeeni yaliyomema na sahihi katika macho yenu.

Maneno "mema" na "sahihi" yana maana moja.

Kwa ajili ya masikio yenu.

"Kwa ajili yenu kusikia."