sw_tn/jer/26/13.md

16 lines
396 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hiyo, sasa imarisheni njia zenu na matendo yenu.
Watu walikuwa walikuwa wamejito kumtolea Yahwe sadaka ili kumpendeza. Lakini hawakuwa wanapenda kuifuata sheri ya Yahwe wala kumjua Yeye.
# Sikilizenu sauti ya Yahwe.
"Mtiini Yahwe."
# Nitendeeni yaliyomema na sahihi katika macho yenu.
Maneno "mema" na "sahihi" yana maana moja.
# Kwa ajili ya masikio yenu.
"Kwa ajili yenu kusikia."